LUKAKU AFUNGA MAN UNITED YASHINDA 4-1 DHIDI YA FULHAM ENGLAND - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

LUKAKU AFUNGA MAN UNITED YASHINDA 4-1 DHIDI YA FULHAM ENGLAND

Wachezaji wa Manchester United, Juan Mata na Marcus Rashford wakimtania Romelu Lukaku baada ya mshambuliaji huyo wa zamani wa Everton na Chelsea kumaliza ukame wa mabao Old Trafford kufuatia kufunga bao la tatu dakika ya 42 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Fulham leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England.
Mabao mengine ya Man United ya kocha Mreno, Jose Mourinho yamefungwa na Ashley Young dakika ya 13, Juan Mata dakika ya 28 na Marcus Rashford dakika ya 82 wakati la wageni limefungwa na Aboubakar Kamara kwa penalti dakika ya 67 Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More