LUKAKU AFUNGA MAWILI, HAZARD MOJA UBELGIJI YASHINDA 3-0 - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

LUKAKU AFUNGA MAWILI, HAZARD MOJA UBELGIJI YASHINDA 3-0

Romelu Lukaku akishangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika za 31 na 81 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Iceland kwenye mchezo wa Kundi la Pili Ligi ya Mataifa ya UEFA usiku huu mjini Reykjavik baada ya Eden Hazard kuanza kufunga kwa penalti dakika ya 29 


Source: Bin ZuberyRead More