LUKAKU AFUNGA MAWILI UBELGIJI YASHINDA 2-1 DHIDI YA USWISI LIGI YA ULAYA - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

LUKAKU AFUNGA MAWILI UBELGIJI YASHINDA 2-1 DHIDI YA USWISI LIGI YA ULAYA


Mshambuliaji Romelu Lukaku akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Ubelgiji dakika za 58 na 84 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Uswisi kwenye mchezo wa Kundi la Pili Ligi ya Mataifa ya Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Stade Roi Baudouin mjini Brussel. Bao pekee la Uswisi lilifungwa na Mario Gavranovic dakika ya 76 baada ya kuingia akitokea benchi dakika ya 69 kuchukua nafasi ya Haris Seferovic Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More