Lukuvi afanya yake Monduli - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Lukuvi afanya yake Monduli

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi ameagiza kufukuzwa kazi afisa ardhi wa wilaya ya Monduli Kitundu Mkumbo. Anaandika Mwandishi Wetu … (endelea). Sababu ya agizo ni kwamba, Mkumbo amekiuka sheria na taratibu za utoaji wa hati miliki za kimila. Lukuvi ametoa agizo hilo mbele ya wakazi wa Kijiji cha Engarooji wilayani ...


Source: MwanahalisiRead More