Lukuvi amteua Polepole ujumbe Bodi ya NHC - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Lukuvi amteua Polepole ujumbe Bodi ya NHC

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi ameteua wajumbe saba wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), akiwemo Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Taarifa kwa umma iliyotolewa tarehe 20 Mei 2019 na Lukuvi imewataja wajumbe hao wapya akiwemo, Immaculate Senje, Sauda ...


Source: MwanahalisiRead More