Lukuvi aunda tume maalum kuchunguza maafisa 183 wa Ardhi - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Lukuvi aunda tume maalum kuchunguza maafisa 183 wa Ardhi

WAZIRI wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi ametoa siku 30 kwa timu maalum iliyoundwa kuchunguza maafisa ardhi 183 waliosimamishwa kazi hivi karibuni baada ya kuhusika na tuhuma za kuwafutia madeni wamiliki wa ardhi wanaodaiwa na kusababishia serikali hasara. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Akizungumza Jijini Dodoma amesema taarifa za uchunguzi wa ...


Source: MwanahalisiRead More