Lulu Avunja Ukimya Baada Ya Kumaliza Kifungo Chake - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Lulu Avunja Ukimya Baada Ya Kumaliza Kifungo Chake

Muigizaji wa Bongo movie Elizabeth Michael maarufu kama Lulu hatimaye amevunja ukimya tangu alipomaliza kifungo chake na kutoa shukrani zake za dhati kwa watu wote.


Mwaka jana Lulu alihukumiwa kifungo cha miaka mieili jela Baada ya kukutwa na hayo a ya kumuua Bila kikusudia aliyekuwa Mpenzi Wake marehemu Steven Kanumba.


Lakini Baada ya kutumikia kifungo chake kwa miezi kadhaa Lulu alipata  msamaha wa kipunguziwa kifungo na kupewa kifungo cha nje ambacho ametumikia na kumaliza Wiki hii.


Baada ya ukimya mrefu kwenye mitandao ya kijamii hatimaye Lulu amefunguka na kuandika haya katika ukurasa wake wa Instagram:


View this post on Instagram📝📝📝 (Swipe Left ⬅) ❤🙏


A post shared by Elizabeth Michael (LULU) (@elizabethmichaelofficial) on Nov 15, 2018 at 11:20pm PST

The post Lulu Avunja Ukimya Baada Ya Kumaliza Kifungo Chake appeared first on Ghafla! Tanzania.... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More