Lwandamina: Sitaki kuahidi maajabu kwa Mazembe - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Lwandamina: Sitaki kuahidi maajabu kwa Mazembe

Mabingwa hao wa Zambia, Zesco United imefanikiwa kusonga mbele katika mashindano hayo baada ya kuwatoa mabingwa wa Niger, AS Sonidep kwa jumla ya mabao 5-1 na kupata tiketi ya kuwavaa miamba hiyo DR Congo, TP Mazembe.


Source: MwanaspotiRead More