LYON YASITISHA KUMUUZA NABIL FEKIR KWA MAJOGOO WA LIVERPOOL - Sports Kitaa | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

LYON YASITISHA KUMUUZA NABIL FEKIR KWA MAJOGOO WA LIVERPOOL

Klabu ya Lyon kupitia ukurasa wake wa Twitter, imetangaza rasmi kusitisha mazungumzo na klabu ya Liverpool juu ya biashara ya kutaka kumsajili mshambuliaji Nabil Fekir na kusema kwamba mfaransa huyo atabaki klabuni hapo msimu ujao.

Mambo ya usajili hayo barani Ulaya,
>>Enzo Perez kuvaa viatu vya Lanzini Argentina
Endelea kuwa nasi kwa habari za michezo,usajili kitaifa na kimataifa .Tembelea www.sportskitaa.com kila siku ... Continue reading ->


Source: Sports KitaaRead More