Maadhimisho miaka 80 ya TAG na miaka 10 ya Mpango Mkakati wa Mavuno 2009-2019 Yafanyika Jijini Arusha. - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Maadhimisho miaka 80 ya TAG na miaka 10 ya Mpango Mkakati wa Mavuno 2009-2019 Yafanyika Jijini Arusha.Umati wa watu uliojitokeza katika Ibada ya kuadhimisha miaka 80 ya Kanisa la TAG Tanzania iliyofanyika kitaifa Jijini Arusha katika uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid Karume Jijini Arusha ambapo Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kasimu Majaliwa.Picha na Habari na Vero Ignatus Michuzi Blog.


Maandamano ya maandhimishonya mika 80 ya Kanisa la TAG na miaka 10 ya mpango mkakati wa mavuno 2009-2019
Maandamano yakiingia uwanjani kwaajili ya sherehe ya maadhimisho ya miaka 80 ya Kanisa la Tanzania Asaemblies of God nchini Tanzania.
Maandamano yakiingia uwanja wa Shekh Amri Abeid Karume.
Wamishionari wa ww kanisa la TAG wakiwa katika maadhimisho ya miaka 80 ya Kanisa hilo .
Baadhibyavwachungaji wakiwa katika ibada ya kuadhimisha miaka 80 ya kanisa la TAG iliyofanyika kitaifa Jijini Arusha.
Baadhi ya wachungaji wakimuomba Mungu katika maadhimisho ya miaka 80 ya kanisa la TAG leo Jijini Arusha.
Vijana wa CAS kama wanavyoonekana katika picha wakicheza kwa furaha katika ... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More