MAADHIMISHO YA MIAKA 10 YA ARINSA NA MKUTANO MKUU WA MWAKA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MAADHIMISHO YA MIAKA 10 YA ARINSA NA MKUTANO MKUU WA MWAKA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia SuluhuHassan(katikati) akiwa katika Mkutano wa Umoja wa Urejeshaji wa Mali zinazohusu uhalifu uliofanyika Jijini Dar es Salaam leo , ARINSA pia walifanya maadhimisho ya Miaka 10 tangu kuanzishwa kwake 2009,kutoka kulia ni Mkuu wa Mpango wa Kuzuia Utakatishaji Fedha, Michiel Van Dyk, Mkurugenzi Mkuu wa Mashitaka (DPP) Tanzania, Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt.Augustine Mahiga, Kushoto ni Jaji Dkt.Eliezer Mbuki Feleshi, na Mshauri wa UNOC, Fitz Ray Drayton.Washiriki wa Mkutano wa Umoja wa Urejeshaji wa Mali zinazohusu uhalifu ARINSA, uliofanyika wakifuatilia Mkutano huo leo Jijini Dar es Salaam.Baadhi ya Bendera za Nchi wanachama wa ARINSA (Asset Recovery Inter-Agencyfor Southern Africa), ( , 1-Uganda, 2-Tanzania, 3-Lethoto) zikipitishwa kwawashiriki wa Mkutano wa Umoja wa Urejeshaji wa Mali zinazohusu uhalifu ARINSA, uliofanyika Jijini Dar es Salaam leo , Chama hicho pia kilikuwa kinaadhimisho Miaka 10 tangu kuanzishwa kwake 2009... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More