MAAFA YA MV NERERE: MATUKIO YA PICHA WAKATI WA MAZISHI LEO SEPTEMBE 23, 2018 - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MAAFA YA MV NERERE: MATUKIO YA PICHA WAKATI WA MAZISHI LEO SEPTEMBE 23, 2018


 Askari wakiweka kaburibi miili ya baadhi ya  wananchi walifariki dunia katika ajali ya Kivuko cha MV Nyerere kilichozama kwenye  kisiwa cha Ukara wilayani Ukerewe wakati wa   mazishi yaliyoongozwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa katika kijiji cha Bwisa kisiwani Bukara, Septemba 23, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka shada la maua kwenye kaburi  la mmoja wa wananchi walifariki katika ajali ya kivuko cha MV Nyerere kilichozama katika katika kisiwa cha Ukara wilayani Ukerewe. Majaliwa aliwaongoza mamia ya waombolezaji katika mazishi yaliyofanyika kwenye kijiji hicho Septemba 23, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Wafanyakazi wa kujitolea na wakiungana na askari, wakiweka udongo wakati wa mazishi ya watu waliofariki kwenye ajali ya kivuko cha Mv Nyerere, pembezoni mwa ziwa Victoria huko Ukara, Wilayani Ukerewe Mkoani Mwanza leo Septemba 23, 2018. (PICHA NA MICKY JAGGER WA K-VIS BLOG) Wafanyakazi wa Msalaba Mwekundu na askar... Continue reading ->


Source: Mwanaharakati MzalendoRead More