Maafisa 8 wa polisi wanahofiwa kufariki, baada ya gari la polisi lililokuwa likipiga doria mjini Wajir mpakani mwa Kenya na Somalia kukanyaga bomu fahamu zaidi - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Maafisa 8 wa polisi wanahofiwa kufariki, baada ya gari la polisi lililokuwa likipiga doria mjini Wajir mpakani mwa Kenya na Somalia kukanyaga bomu fahamu zaidiMaafisa wanane wa polisi wanahofiwa kufariki baada ya gari la polisi lililokuwa likipiga doria mjini Wajir Kaskazni mwa Kenya kukanyaga bomu.Note: Picha haihusiani na tukio.


Kwa mujibu wa BBC.Inspekata jenerali a polisi Hillary Mutyambai ametoa taarifa iliosema kuwa gari hilo llikuwa imewabeba maafisa 11 na ilikuwa ikipiga doria katika mpaka wa Kenya na Somalia.


Tayari vikosi vya usalama ikiwemo wale wa anagni wamepelekwa katika eneo hilo kufuatia kisa hicho.


By Ally Juma.

The post Maafisa 8 wa polisi wanahofiwa kufariki, baada ya gari la polisi lililokuwa likipiga doria mjini Wajir mpakani mwa Kenya na Somalia kukanyaga bomu fahamu zaidi appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More