MAAFISA ARDHI HALMASHAURI MULEBA WADAIWA KUMCHOSHA NAIBU WAZIRI MABULA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MAAFISA ARDHI HALMASHAURI MULEBA WADAIWA KUMCHOSHA NAIBU WAZIRI MABULA

Na Munir Shemweta, MULEBA
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula ameshangazwa na maafisa ardhi wa halamashauri ya wilaya ya Muleba mkoa wa Kagera kushindwa kuelewa idadi ya viwanja vilivyopimwa katika halmashauri hiyo na kumuagiza kaimu Mkurugenzi wa halmashauri hiyo Shaban Manyama kufanya mabadiliko katika idara hiyo ili kupata watu sahihi watakaoisaidia idara.
Dkt Mabula alikutana na kadhia hiyo katika wilaya ya Muleba jana akiwa katika siku yake ya kwanza ya ziara yake ya kutembelea wilaya za mkoa wa Kagera kuhamasisha ukusanyaji maduhuli ya serikali kupitia kodi ya ardhi.
Waziri Mabula alisema haiwezekani watendaji wa sekta ya ardhi kuwa katika idara halafu wanashindwa kujua ni viwanja vingapi vimemilikishwa kwa wananchi wakati agizo lilishatolewa tangu mwaka 2017 kuwa viwanja vyote viingizwe kwenye mfumo ili kuwa na takwimu sahihi
‘’Hapa hakuna idara ya ardhi maana watendaji wake hawajitambui lazima pafanyike mabadiliko na kupata watu watakaowez... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More