MAAFISA HABARI SERIKALINI WATOA MSAADA WA MILIONI 7.5 KUSAIDIA WAZEE BUKUMBI - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MAAFISA HABARI SERIKALINI WATOA MSAADA WA MILIONI 7.5 KUSAIDIA WAZEE BUKUMBI Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt.Hassan Habasi akizungumzia jinsi Maafisa Mawasiliano walivyoguswa na Kuamua kuwasaidia Wazee wa kituo cha makao ya wazee na wasio jiweza kilichopo Bukumbi Wilayani Misungwi walipowatembelea leo katika eneo la Bukumbi Wilayani Misungwi. Wakwanza kulia ni Mwenyekiti wa Chama cha Maafisa Habari wa Serikali (TAGCO), Bw. Pascal Shelutete

Afisa Mfawidhi wa Makao ya Wazee na Wasiojiweza Bukumbi Bi.Leah Mwakatobe  akitoa neno  la  shukrani kwa Uongozi wa Chama cha Maafisa  Mawasiliano  Serikalini(TAGCO) baada ya kuwatembelea  na  kuwapa msaada wa Magodoro, Mashuka, Vyandarua, Mabeseni, Vyandarua ,Mchele  na Mafuta. NA JACQUILINE MRISHO - MAELEZOMAAFISA Habari wa Serikali wametoa msaada wenye thamani ya jumla ya shilingi 7, 507,700 katika Makao ya Wazee Wasiojiweza yaliyopo Bukumbi jijini Mwanza.Misaada hiyo imetolewa jana ikiwa imejumuisha vitu mbalimbali vikiwemo vyandarua 88, magodoro 88, mashuka 176, mabes... Continue reading ->
Source: Mwanaharakati MzalendoRead More