Maafisa Ununuzi kutoka nchi 46 wakutana Tanzania - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Maafisa Ununuzi kutoka nchi 46 wakutana Tanzania

Kongamano la nane la Kimataifa la Maafisa Ununuzi wa Umma linaloshirikisha washiriki takriban 370 kutoka nchi 46 linafanyika mjini Arusha kaskazini mwa Tanzania


Source: BBC SwahiliRead More