MAAFISA WA DRC WAWASILI NCHINI KUJIFUNZA SHUGHULI ZA TASAF. - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MAAFISA WA DRC WAWASILI NCHINI KUJIFUNZA SHUGHULI ZA TASAF.

Mkurgenzi Mtendaji wa TASAF,Bw. Ladislaus Mwamanga (wa tatu kulia ) akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe kutoka DRC ambao uko nchini kujifunza shughuli za huduma ya hifadhi ya jamii Ujumbe kutoka DRC ukimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF,(anayeitazama kamera) kwenye ukumbi wa ofisi ndogo ya TASAF jijini DSM.... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More