Maajabu ya Sergio Kun Aguero katika jezi ya Man City - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Maajabu ya Sergio Kun Aguero katika jezi ya Man City

MIGUU ina maajabu ambayo Manchester City haikuwahi kuiona kwa mchezaji yeyote aliyewahi kuvaa jezi yake kabla ya hapo. Sergio Aguero Kun juzi alifunga mabao mawili katika pambano la ufunguzi wa msimu dhidi ya Chelsea. Mabao hayo yamekuja na maajabu yake.


Source: MwanaspotiRead More