Maalim Seif ajitosa Serikali za Mitaa - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Maalim Seif ajitosa Serikali za Mitaa

MABADILIKO kamili katika siasa, uchumi na kijamii hayawezi kufikia iwapo wananchi watasita kwenda kujiandikisha ili kupiga kura. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Kauli hiyo imetolewa na Maalim Seif Sharif Hamad, Mshauri wa Chama cha ACT-Wazalendo leo tarehe 9 Oktoba 2019, siku moja baada ya zoezi la uandikishaji wapiga kura linaloendeshwa na Wizara ya Ofisi ya ...


Source: MwanahalisiRead More