Maalim Seif ampiga ‘stop’ Prof. Lipumba - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Maalim Seif ampiga ‘stop’ Prof. Lipumba

CHAMA cha Wananchi (CUF), kimethibitisha kuwa hakitashiriki uchaguzi mdogo wa marudio katika jimbo la Buyungu, mkoani Kigoma, Jang’ombe Unguja na kata 79 Tanzania Bara. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Naibu Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano ya umma ya chama hicho, Mbarala Maharagande, amaiambia MwanaHALISI Online kuwa CUF hakitashiriki chaguzi hizo kutokana na kupandikiziwa mgogoro. Uchaguzi ...


Source: MwanahalisiRead More