Maalim Seif ‘byebye’ CUF - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Maalim Seif ‘byebye’ CUF

JINA la Maalim Seif Shariff Hamad, Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) linakwenda ukingoni ndani ya chama hicho. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Hatua hiyo inakuja baada ya kufanyika kwa uchaguzi wa kanda na kupata wajumbe wa Baraza la Uongozi wa CUF ambapo leo tarehe 16 Machi 2019 litajadili na kupitisha jina la Katibu Mkuu ...


Source: MwanahalisiRead More