Maalim Seif mguu nje, mguu ndani CUF - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Maalim Seif mguu nje, mguu ndani CUF

TAMKO la Maalim Seif Shariff Hamad, Katibu Mkuu wa CUF kwamba ‘muda ukifika nitazungumza’ kuhusu kuhama chama hicho inatikisa msimamo wake wa awali. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Tamko hilo amelitoa ikiwa ni siku nne baada ya kupata ‘mwaliko’ wa kujiunga na Chadema ambapo ameahidiwa kugombea nafasi ya urais visiwani Zanzibar kwenye Uchaguzi Mkuu wa ...


Source: MwanahalisiRead More