Maalim Seif: Yanayotokea chini ya Magufuli, hatujawahi kuyaona Tanzania - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Maalim Seif: Yanayotokea chini ya Magufuli, hatujawahi kuyaona Tanzania

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) Maalim Seif Sharif Hamad anasema mazingira ya kisiasa nchini Tanzania yamebadilika sana na upinzani unakandamizwa zaidi.


Source: BBC SwahiliRead More