Maambukizi ya Malaria yapungua kwa 7.4%. - Kwanza TV | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Maambukizi ya Malaria yapungua kwa 7.4%.

 Kiwango cha maambukizi ya ugonjwa wa Malaria hapa nchini kimetajwa kupungua kutoka 14.4% ya mwaka 2015 hadi 7.4% ya mwaka 2017, jambo ambalo linatajwa kuiweka nchi katika hatua nzuri ya mapambano dhidi ya ugonjwa huo. Hayo yamejiri leo katika uzinduzi wa ripoti ya Utafiti wa Viashiria vya Malaria 2017 nchini(TMIS2017), utafiti ambao umefanywa na Ofisi


Source: Kwanza TVRead More