MAANDALIZI UCHAGUZI MDOGO MONDULI YAKAMILIKA WANANCHI WATAKIWA KUJITOKEZA KUPIGA KURA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MAANDALIZI UCHAGUZI MDOGO MONDULI YAKAMILIKA WANANCHI WATAKIWA KUJITOKEZA KUPIGA KURA

Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Monduli, Stephen Ulaya amewataka wananchi wa jimbo hilo kujitokeza kwa wingi kupiga Kura kesho (Jumapili, Septemba 16,2018) ili kumchagua Mbunge wa Jimbo hilo. Akizungumza na NEC TV wilayani Monduli leo Bw. Stephen Ulaya ameeleza kuwa maandalizi ya kufanikisha kufanyika kwa uchaguzi huo yamekamilika ikiwemo usambazaji wa vifaa vya uchaguzi na Mafunzo kwa Wasimamizi wa Uchaguzi .


Source: Issa MichuziRead More