Maandalizi ya mazishi ya pamoja ya waliofariki ajali ya MV Nyerere yaanza - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Maandalizi ya mazishi ya pamoja ya waliofariki ajali ya MV Nyerere yaanza

Maandalizi ya kuihifadhi miili ya watanzania 209 ambao wamepoteza maisha kutokana kuzama kwa kivuko cha MV Nyerere huko Ukerewe yameanza mchana wa leo. Tayari makaburi kadhaa yameshachimbwa huku baadhi ya ndugu wakiwa tayari wameshatambua miili 172 ya ndugu zao.

Makaburi yakiandaliwa.


Mchana wa leo fundi mkuu wa meli aliyekuwa katika kivuko kilichozama cha MV Nyerere Augustino Cherehani ameokolewa akiwa hai. Angalia picha za maandalizi ya mazishi.The post Maandalizi ya mazishi ya pamoja ya waliofariki ajali ya MV Nyerere yaanza appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->

Source: Bongo5Read More