MAANDALIZI YA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA BUYUNGU YAKAMILIKA, WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA WAPIGWA MSASA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MAANDALIZI YA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA BUYUNGU YAKAMILIKA, WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA WAPIGWA MSASA

 Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Buyungu wilayani Kakonko Lusubilo, Kigoma Bw. Joeli Mwakibibi akizungumza na Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo vya Kupigia Kura Jumamosi Agosti 11, 2018 wakati wa mafunzo ya Kusimamia uchaguzi  mdogo wa Ubunge utakaofanyika Agosti 12 mwaka huu. Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Buyungu wilayani Kakonko Lusubilo, Kigoma Bw. Joeli Mwakibibi akiwaapisha Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo vya Kupigia Kura Jumamosi Agosti 11, 2018 ili waweze kutekeleza majukumu yao kwa uadilifu na kufuata sheria wakati wa mafunzo ya Kusimamia uchaguzi  mdogo wa Ubunge utakaofanyika Agosti 12 mwaka huu. Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Dkt. Athumani Kihamia akizungumza na Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo vya Uchaguzi katika jimbo la Buyungu (hawapo pichani), wilayani Kakonko wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wa kusimamia Uchaguzi mdogo wa Ubunge katika jimbo hilo Jumamosi Agosti 11, 2018. Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi Kata ya Kiziguzigu Bi. Jesca Masawe a... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More