Mabadiliko Uefa kuja na mfumo kuziokoa Manchester United, Arsena - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mabadiliko Uefa kuja na mfumo kuziokoa Manchester United, Arsena

Mpango huo mpya ukifanikiwa, basi kwa timu za Ligi Kuu England kufuzu kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu unaokuja haitahitaji kumaliza ndani ya Top Four kwenye ligi ya ndani, bali kumaliza nafasi za juu kwenye michuano ya msimu uliopita kwenye ligi ya Ulaya.


Source: MwanaspotiRead More