Mabango ya ubingwa wa Liverpool yatupwa ‘jalalani’ - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mabango ya ubingwa wa Liverpool yatupwa ‘jalalani’

Unaweza kusema labda tusubiri msimu ujao. Hii imetokea jana wakati timu za Manchester City na Liverpool wakiwa kwenye mbio za ubingwa, ambapo Chama cha Soka England kilikuwa kimeshaweka mazingira kwa timu yoyote ambayo ingeibuka na ushindi kwa ajili ya kupamba jukwaa uwanjani.


Source: MwanaspotiRead More