Mabao 10 bora ya Hazard Chelsea - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mabao 10 bora ya Hazard Chelsea

HATIMAYE kisiki, Eden Hazard kimeng’oka Chelsea na kwenda Real Madrid kwa uhamisho wa Pauni 115 milioni. Hazard amefanya mambo mengi makubwa na amefunga mabao mengi ya kukumbukwa.


Source: MwanaspotiRead More