MABASI YA MWENDOKASI KARAHA TUPU DAR, RC MAKONDA AKASIRIKA, WENYEWE WAJITETEA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MABASI YA MWENDOKASI KARAHA TUPU DAR, RC MAKONDA AKASIRIKA, WENYEWE WAJITETEA


*Yaelezwa kuna madereva wamekimbia na funguo za mabasi kusikojulikana
Na Said Mwishehe,Globu ya jamii
BADALA ya raha sasa karaha!Ndivyo unavyoweza kuuzungumzia usafiri wa mabasi ya mwendo kasi katika Jiji la Dar es Salaam ambapo wananchi wa Jiji hilo wamelalamikia unyanyasaji unaofanywa na watoa huduma wa usafiri huo.
Wakati watumiaji wa usafiri huo wakioneshwa kuchoshwa na usafir inavyoendesha, kwa upande wa uongozi wa DART umedai mradi huo unahujumiwa na baadhi ya watu wasiokuwa na nia njema kwao.
Hata hivyo kutokana na changamoto za usafiri huo leo asubuhi wananchi wa Kimara waliamua kuonesha hisia zao kwa kufunga barabara huku wakidai wamechoshwa na namna ambavyo huduma hiyo inatolewa.Wameiomba Serikali ya Mkoa wa Dar es Salaam kuingilia kati kumaliza changamoto na adha ya usafiri wanayoipata huku wengine wakesema usafiri huo ni mateso kwao.
Wameiambia Michuzi Blog kuwa mabasi hayo yamekuwa yakiwapita watu vituoni na hakuna sababu za msingi za kufanya hivyo na matokeo yake kusa... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More