MABONDIA 18 LEO KUONESHA UMWAMBA KATIKA ULINGO WA CCM MWINJUMA DAR - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MABONDIA 18 LEO KUONESHA UMWAMBA KATIKA ULINGO WA CCM MWINJUMA DAR


Na Ripota Wetu,Globu ya jamii


MABONDIA 18 leo wanatarajia kupanda ulingoni katika ukumbi wa ulingo wa CCM Mwinjuma uliopo Mwananyamala kuwania mataji mbalimbali katika mchezo wa ngumi likiongozwa na pambano la raundi 10 kati ya Bushiri Kulwa na Seba.

Mapambano hyao yaliyoandaliwa na Kampuni ya ‘Golden Boy Africa’ yanawakutaniosha mabondia hao wanaowania mkanda wa Dunia katika uzito wa kilo 84 ‘Cruiser weights’ linatajwa kuwa la kipekee na hasa kutokanana na viwango walivyonavyo mabondia wote wawili katika medani ya ‘masumbwi’

Mbali na pambano hilo ,.michezo mingine inatarajiwa kuwakutanisha mabondia Simba na Allen, Chidi Mbishi dhidi ya Moro Best,Mkalekwa Junior dhidi ya Abdala Luwanje, Hamisi Maya dhidi ya Karage Suba itakayochezwa kwa raundi nane kila mmoja.

Mapambano mengine ambayo ni pamoja na bondia Mbunju Laga dhidi ya Iman Tavez, Nurdin Mohammed dhidi ya Issa Mbwana , Mlekwa dhidi ya Rama, pamoja na pambano kati ya Modest John dhidi ya Kassim Juma, yote... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More