MABONDIA 18 LEO WANATARAJIA KUPANDA ULINGONI - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MABONDIA 18 LEO WANATARAJIA KUPANDA ULINGONI

 Mabondia Bushiri Kulwa na Seba, watakaopambana kuwania ubingwa wa Dunia katika uzito wa Cruiser.Picha nyingine ni mabondi watakaopanda ulingoni mataji mbalimbali katika uzito wa Welter weigths'Mratibu wa mpambano huo Shomari Kimbau akizungumza na wanahabari(hawapo pichani) katika moja ya mapambano yake.
MABONDIA 18 leo wanatarajia kupanda ulingoni katika ‘Uringo’ wa CCM Mwinjuma uliopo Mwananyamala kuwania mataji mbalimbali katika mchezo wa ngumi likiongozwa na pambano la raundi kumi kati ya Bushiri Kulwa na Seba.
Mapambano hyao yaliyoandaliwa na Kampuni ya ‘Golden Boy Africa’ yanawakutaniosha mabondia hao wanaowania mkanda wa Dunia katika uzito wa Kilo 84 ‘Cruiser weights’ linatajwa kuwa la kipekee na hasa kutokanana na viwango walivyonavyo mabondia wote wawili katika medani ya ‘masumbwi’
Mbali na pambano hilo ,.michezo mingine inatarajiwa kuwakutanisha mabondia Simba na Allen, Chidi Mbishi dhidi ya Moro Best,Mkalekwa Junior dhidi ya Abdala Luwanje, Hamisi Maya ... Continue reading ->Source: KajunasonRead More