MABONDIA SHOMARI MILUNDI NA RAMADHANI MIGWEDE WASAINI KUZIPIGA DAR LIVE SIKU YA NANENANE - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MABONDIA SHOMARI MILUNDI NA RAMADHANI MIGWEDE WASAINI KUZIPIGA DAR LIVE SIKU YA NANENANE

Promota wa mpambano wa ngumi Zahoro Maganga katikati akiwainuwa mikono kuwatambulisha mabondia Ramadhani Migwede (kushoto) na Shomari Milundi (kulia) kwa ajili ya mpambano wao wa Agosti 8, 2018 utakaofanyika katika ukumbi wa Dar Live Mbagala jijini Dar es Salaam.Mabondia Ramadhani Migwede (Kushoto) akitunishiana misuli na Shomari Milundi baada ya kusaini mkataba wa kuzipiga Agosti 8, 2018 katika ukumbi wa Dar Live Mbagala jijini Dar es Salaam. Katikati ni Promota wa mpambano huo Zahoro Maganga.Copyright 2007-2017 @KAJUNASON BLOG


Source: KajunasonRead More