MABONDIA WAPIMA UZITO KUPIGANA LEO UWANJA WA NDANI WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MABONDIA WAPIMA UZITO KUPIGANA LEO UWANJA WA NDANI WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM

Promota wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu mhamila 'Super D' katikati akiwainua mikono juu mabondia Georger Dimoso kushoto na Abdallah Pazi 'Dula Mbabe' baada ya kupima uzito kwa ajili ya kuzipiga leo Jumamosi Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa jijini Dar es salaam.Mabondia Georger Dimoso kushoto akitambiana na Abdallah Pazi 'Dula Mbabe' baada ya upimaji wa uzito na Afya kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa.Promota wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' katikati akiwatambulisha mbele ya wahandishi wa habari mabondia Saidi Bakari 'Kidedea' kushoto na Vicent Mbilinyi baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika jumamosi ya Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa.Mabondia Saidi Bakari 'Kidedea' kushoto akitunishiana misuli na Vicent Mbilinyi baada ya kumaliza kupima uzito katikati ni Promota Rajabu Mhamila 'Super D baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika jumamosi ya Septemba 15 katika uw... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More