MABULA AHAKIKI UHAWILISHAJI ARDHI KATIKA VIJIJI VYA NAKAWALE NA LILAHI PERAMIHO HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA RUVUMA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MABULA AHAKIKI UHAWILISHAJI ARDHI KATIKA VIJIJI VYA NAKAWALE NA LILAHI PERAMIHO HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA RUVUMA

 Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula akihakiki majina katika kijiji cha Nakawale halmashauri ya wilaya ya Songea mkoani Ruvuma wakati wa ziara yake ya kuhakiki uhawilishaji ardhi katika vijiji vya Nakawale na Lilahi Peramiho mkoa wa Ruvuma. Aliyevaa kofia ni mwenyekiti wa kijiji cha Nakawale Ally Paswere na kulia ni Mtendaji wa Kata ya Muhukuru halmashauri ya Songea Rajabu Issa Ajida Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula akizungumza na wananchi wa kijiji cha  Nakawale halmashauri ya wilaya ya Songea mkoani Ruvuma wakati wa ziara yake ya kuhakiki uhawilishaji ardhi katika vijiji vya Nakawale na Lilahi Peramiho mkoa wa Ruvuma. Kaimu Kamishna wa ardhi vijijini kutoka Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi  Kokula Shenkumba akitoa elimu ya uhawilishaji ardhi kwa wananchi wa kijiji cha Nakawale Peramiho wilaya ya Songea mkoa wa Ruvuma. Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Songea Rajabu Kiula akizungumza wakati naib... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More