Mabula aonesha njia utatuzi mgogoro wa ardhi Mara - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mabula aonesha njia utatuzi mgogoro wa ardhi Mara

NAIBU Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angeline Mabula ameagiza zoezi la kupima upya mipaka ya vijiji vya Kono na Ketembere kuanza haraka. Anaandika Mwandishi Wetu … (endelea). Vijiji hivyo vipo katika Kata ya Nata na Rigicha wilayani Serengeti Mkoa wa Mara ambapo ameagiza ifikapo Desemba 2018, ramani ya mipaka ya vijiji hivyo iwe ...


Source: MwanahalisiRead More