Madam Ritha Atoa Top 6 Yake ya Washindi wa BBS. - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Madam Ritha Atoa Top 6 Yake ya Washindi wa BBS.

Jaji mkuu wa shindano la BSS nchini , Madam Ritha amefunguka na kutoa list ya wasanii wake  6 kutoka katikamashindao  yaBSS kwa miaka iliyopita mabao mpaka sasa wanafanya vizuri na amekuwa akijivunia sana kila napoona mafanikio yao.


Madam Ritha nasema kuwa sio kwamba wasanii wengine hawafanyi vizuri lakini wapo wanafanya vitu vingine kulingana na muda na hali ilyo sasa na siasa nyingi zilizopo katika muziki wa bongo.


wasanii aliowataja Madam Ritha ni pamoja na Walter Chilambo,Peter Msechu, Kala Jeremiaah na Haji Hamadhani” wapo wasanii kama Walter Chilambo ambae yupo katika gospel na kama wewe sio mtu wa gospel utamjuaje,wapo wengine katika mabendi kama haji ramadhani ni mtu muhimu sana katika bend ya Twanga Pepeta,Peter Msechu na Kala Jeremiah je. lakini pia kuwa wengine ni ma-tv presenter wakubwa tu ,kuna Frida Amani ambae pia wimbo wake unafanya vizuri tu kwa sasa, Angel Mary kato pia .


Madam Ritha pia anasema kuwa wasanii hawa wamekuwa wakifanya vizuri lakini tu inategemea mtu ... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More