Madee Aongelea Ugomvi wa Dogo Janja na Irene. - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Madee Aongelea Ugomvi wa Dogo Janja na Irene.

Mwanamuziki Madee amefunguka na kuongelea  swala linaloendelea kwa sasa katika mitandao ya kjimii kuhusu ugomvi wa mwanadada Irene uwoya pamoja alaiyewahji kuwa mume wake Dogo janja.


Wawili hao ambao wamekuwa wakirushiana maneno aktika mitandao ya kijamii hasa kipindi hiki huku kila mmoja akitaka kuonekana bora kuliko mwingine na hata kutishiana kufichuliana siri zao , wamekuwa gumzo katika kitandao ya kijamii.


Madee anasema kuwa hata yeye alshangazwa sana na kitendo cha wawili hao kuona wanarushiana madongo katika kitandao hivyo aliamua kuwiata na kuongea nao kama watru wazima.


Nilishawasema tangu jana, niliongea nao jana ile ile na kuwaita wote, dogo janja pia nilishaongea nae na amekubali sasa yameisha.na wala hamtaona inajirudia tena.


Wawili hao walikuwa wakirishiana maneno katika itandao ya kijamii huku kila mmoja akitishaia kumuumbua mwenzake kwa kile kinachodaiwa kuwa ni siri.


The post Madee Aongelea Ugomvi wa Dogo Janja na Irene. appeared first on Ghafla! Tanzania.... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More