Madereva kuwaweka kikaangoni vigogo Udart - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Madereva kuwaweka kikaangoni vigogo Udart

WAKATI Serikali ya mkoa wa Dar es Salaam, ikiagiza watendaji wa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka (Udart) kutoa sababu za kutochukua hatua madhubuti kuondoa kero ya usafiri kwa abiria, ifikapo kesho majira ya saa 12.30 asubuhi, kampuni hiyo imeeleza sababu za kero hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Udart kupitia msemaji wake, Deus Bugaywa imedai ...


Source: MwanahalisiRead More