MADHARA YA KUNYONYA UUME/UKE - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MADHARA YA KUNYONYA UUME/UKE

Na Dokta Mathew.
Kitendo hiki ni pale mwanamke anapoweka uume wa mwenza wake mdomoni mwake na kuanza kunyonya kama pipi au mwanaume kuingiza ulimi ukeni pamoja na kunyonya via vya mwanamke pindi wapenzi hawa wawapo faragha.
Kumekua na ongezeko la kitendo hiki kwa vijana na imekua kama ni sehemu ya mahaba kwa wapenzi hata inafikia hatua mwanaume ANAONA MKE/MPENZI WAKE HAJUI MAHABA KAMA HAJAMNYONYA UUME AU MWANAMKE KUONA HIVYO ASIPONYONYWA YEYE.VILE VILE KUNA WANAWAKE WANAONA KUFANYA MAPENZI BILA KUNYONYA NI USHAMBA.
Vyumbani mambo mengi sana hutokea katika suala zima la mapenzi, nitaenda kusema kwa ufupi madhara ya kunyonya.
KISONONO CHA KOO.
Kama unafanya hiki kitendo halafu ukute mwanamke/mwanaume ana magonjwa ya zinaa kama kisonono inakua rahisi kwa mnyonyaji kuambukizwa. Kumbukeni kama mwanamke ana kisonono sio rahisi kumgundua kama ilivyo kwa mwanaume. TUWENI MAKINI.
SARATANI YA KOO.
Hii hasa huwapata wanawake ambao hupenda kunyonya uume wanaume wengi na hivyo kuwaweka katika hatari ya kuam... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More