MADHARA YA UNYWAJI WA POMBE KUPITA KIASI - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MADHARA YA UNYWAJI WA POMBE KUPITA KIASI

Mwalimu Kandi S. Mbwambo akielezea kwa undani jambo fulani mbele ya washiriki wa semina za Jinsia na Maendeleo (GDSS) Mapema wiki hii, zinazofanyika kila jumatano katika ofisi za TGNP Mtandao zilizopo Mabibo jijini Dar es salaam .Semina ikiendeleaBaadhi ya washiriki wakifuatilia semina kwa umakini.Semina ikiendelea mapema wiki hii Makao Makuu ya TGNP Mtandao.
Inaeleweka kuwa unywaji wa pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya, Lakini pia madhara mengine yatokanayo na unywaji wa pombe uliokithiri ni kusababisha ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto.
Muwezeshaji wa semina Mwalimu Kandi Mbwambo akitoa ufafanuzi wa jambo kwa washiriki wa Semina za Jinsia na Maendeleo (GDSS).
Hayo yameelezwa mapema wiki hii na Mwalimu Kandi S. Mbwambo ambaye ni muwezeshaji kutoka Kituo cha Walimu Sinza (TRC) alipokuwa akiwasilisha mada inayosema ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto kama matokeo ya unywaji pombe (ulevi).
Mwalimu Mbwambo alisema kuwa imezoeleka kuonekana kwa mzazi wa kiume akilewa pombe a... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More