Madiwani Moro wachunguza upotevu wa Mil 350 - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Madiwani Moro wachunguza upotevu wa Mil 350

BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro limeunda Kamati maalum ya kuchunguza upotevu wa kiasi cha Sh. 353 milioni ambazo hazikuingizwa kwenye akaunti maalum ya Halmashauri. Anaripoti Christina Haule … (endelea). Mwenyeiti wa Baraza hilo Kibena Kingo amesema hayo wakati akitoa maazimio ya kikao hicho kwenye kikao maalum cha baraza la Madiwani kilichofanyika ...


Source: MwanahalisiRead More