Madiwani wanne wa CUF watimuliwa Tanga - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Madiwani wanne wa CUF watimuliwa Tanga

KUFUKUZWA KWA MADIWANI WETU WANNE WA TANGA! Mkurugenzi wa Jiji la Tanga, jana jioni (09 Julai 2018) ametangaza kuwafukuza udiwani, madiwani wanne wa The Civic United Front (CUF), kati yao wawili wakiwa ni madiwani wa kuchaguliwa kwenye kata (akiwemo diwani ambaye alikuwa Mwenyekiti wa Wilaya ya Tanga Mjini wa chama chetu), madiwani wawili ni wa ...


Source: MwanahalisiRead More