Maeneo Manne (4) Ya Kufanyia Kazi Kila Siku Ili Uwe Imara Na Uweze Kutengeneza Mafanikio Makubwa Kwenye Maisha Yako. - Hisia za Mwananchi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Maeneo Manne (4) Ya Kufanyia Kazi Kila Siku Ili Uwe Imara Na Uweze Kutengeneza Mafanikio Makubwa Kwenye Maisha Yako.

Rafiki yangu mpendwa, Mafanikio kwenye maisha yako siyo matokeo bali ni mchakato, siyo mwisho wa safari, bali ni safari yenyewe. Wengi wanaofanikiwa halafu wanakuwa na maisha ya hovyo ni kwa sababu hawakuelewa vizuri mafanikio. Walikazana kufikia kitu fulani kwa sababu walijua wakishakipata basi watakuwa hawana haja ya kuhangaika tena. Lakini maisha yetu ni kwa ajili... Continue Reading →


Source: Hisia za MwananchiRead More