Mafanikio Makubwa Huwa Yanaenda Kwa Watu Wenye Sifa Hizi Saba, Zijue Na Ujijengee Ili Uweze Kufanikiwa Zaidi. - Hisia za Mwananchi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mafanikio Makubwa Huwa Yanaenda Kwa Watu Wenye Sifa Hizi Saba, Zijue Na Ujijengee Ili Uweze Kufanikiwa Zaidi.

Rafiki yangu mpendwa, Huwa tunakosea sana tunaposema tunatafuta mafanikio. Hii ni kwa sababu mafanikio hayawezi kutafutwa, kwa sababu kinachotafutwa ni kilichojificha au kigumu kupatikana. Lakini mafanikio hayajajificha, wala siyo magumu kupatikana. Na kama utasema unakimbiza mafanikio, basi utayakimbiza maisha yako yote na hutayapata. Mafanikio hayatafutwi, bali yanavutiwa. Unapata mafanikio kama matokeo ya aina ya mtu... Continue Reading →


Source: Hisia za MwananchiRead More