Mafundi wa mpira wanasubiri kuvaa buti za Hazard Chelsea - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mafundi wa mpira wanasubiri kuvaa buti za Hazard Chelsea

Mbrazili, Philippe Coutinho ni mchezaji mwingine ambaye mabosi wa Chelsea wanaweza kwenda kuisumbukia saini yake kuja kumrithi Hazard huko Stamford Bridge. Staa huyo mambo yake huko Barcelona kwa sasa si shwari, hivyo kama Chelsea watakuwa siriazi kwenye mipango yao ya kutaka huduma yake bila shaka wataipata.


Source: MwanaspotiRead More