MAFUNZO YA KUKOMESHA BIASHARA YA USAFIRISHAJI HARAMU YA BINADAMU YAFUNGULIWA RASMI . - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MAFUNZO YA KUKOMESHA BIASHARA YA USAFIRISHAJI HARAMU YA BINADAMU YAFUNGULIWA RASMI .

          Na Khadija Seif,Globu ya Jamii.Mafunzo ya elimu ya kutokomeza biashara haramu ya usafirishaji binadamu yafunguliwa rasmi jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na majaji wa nchini Tanzania pamoja na wawakilishi kutoka nchi ya Afrika Kusini na Marekani.
Mafunzo hayo ya siku tatu yataendeshwa na Wizara ya Mambo kwa majaji wa Nchini Tanzania, na wawakilishi kutoka Afrika Kusini na Marekani.
Jaji Mfawidhi wa  Mahakama Kuu ya Tanzania Beatrice Mutungi ameeleza lengo la mafunzo hayo kupatiwa kwa majaji ili kupunguza kasi na kutokomeza biashara hiyo haramu ya usafirishaji binadamu.
Jaji Mutungi amesema kuwa waashiriki hao wametoka sehemu mbalimmbali nchini  ambao ni  hakimu mkazi kutoka mikoani kama Arusha,Tanga,Lindi,Mtwara,Iringa na Dar es salaam na kuwapa fursa ya kupata uelewa mkubwa zaidi ili kutoa adhabu na hukumu ambazo zitastahili kwa watuhumiwa wanaojihusisha na biashara hizo haramu.
Mutungi amefafanua kwakina kuwa biashara hizo zinaambatana na uongo ambao unaowafanya wale... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More