MAFUNZO YA WISN NA POA YALIYOSHIRIKISHA MIKOA MINNE YAHITIMISHWA KWA MAFANIKIO - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MAFUNZO YA WISN NA POA YALIYOSHIRIKISHA MIKOA MINNE YAHITIMISHWA KWA MAFANIKIO

Mgeni Ramsi aliyefungua mafunzo ya WISN PLUS POA Dkt. Frank Jacob (katikati waliokaa) ambaye pia ni Mganga Mkuu wa Mkoa wa Morogoro akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mafunzo hayo kutoka Mikoa ya Morogoro na Dodoma yaliyofanyika Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine – SUA.Mgeni Ramsi aliyefungua mafunzo ya upangaji wa watumishi kwenye vituo vya kutolea huduma za Afya kulingana na Uzito (WISN plus POA) kwa Mikoa ya Arusha na Kilimanjaro Bw. Noel Kazimoto (katikati waliokaa) ambaye pia ni Katibu Tawala Msaidizi kwa upande wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Morogoro, akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mafunzo hayo yaliyofanyika katika Chuo kikuu cha Kilimo cha Sokoine – SUA.Bw. Renatus Mashauri ni mtoa mada ambaye pia ni Afisa Mwandamizi wa Rasilimali watu - mradi wa PS3 Happines Ndosi - Mganga Mkuu Halmashauri ya Mji - Ifakara.Solomon Daktari Kibaha, Mtoa mada.Mratibu wa Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo katika Sekta ya Umma (PS3) Mkoa wa Morogoro Bw. David Laput.Picha mbil... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More