Magaidi wavamia, waua 40 msikitini Newzeland - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Magaidi wavamia, waua 40 msikitini Newzeland

HALI ya taharuki, wasiwasi na hofu imetanda kwa saa kadhaa katika mji wa Christchurch nchini New Zealand baada ya watu kadhaa kufanya shambulizi kubwa kwenye misikiti miwili na kuuawa watu 40 huku 48 wakijeruhiwa. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea). Tukio hilo limetokea leo tarehe 15 Machi 2019 afajiri baada ya waumini wa Dini ya Kiislam kuhudhuria ibada ...


Source: MwanahalisiRead More